BARAZA LA WAFANYAKAZI TEMESA 2018

Mkurugenzi wa Huduma za ufundi sekta ya ujenzi Mhandisi William Nshama ameupongeza uongozi wa Wakala wa Ufundi na Umeme TEMESA kwa utendaji mzuri wa kazi na kuwataka kuhakikisha kwamba wanaendelea dhana ya utawala bora kwa kusikiliza na kutatua kero mbali mbali zinazoukabili wakala huo.