SERIKALI KUKAMILISHA UJENZI WA KIVUKO KIPYA CHA MV. MWANZA KUKAMILIKA MWEZI JUNI

Kivuko kipya cha MV. MWANZA chenye uwezo wa kubeba tani 250, ambazo ni sawa na kubeba magari 36 na abiria 1,000 kwa wakati mmoja, kinachojengwa na kampuni ya kizalendo ya Songoro Marine Transport Boatyard ambacho kinagharimu jumla ya shilingi za kitanzania bilioni 8.9 fedha kutoka serikali ya Tanzania. Kitatoa huduma kati kigongo na Busisi Mkoani Mwanza.