MAFUNZO YA VIONGOZI WA TEMESA MAKAO MAKUU

Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) Dkt. Mussa Mgwatu ameutaka uongozi wa wakala huo kuongeza ufanisi katika utendaji wao wa kazi ili kupata matokeo bora na kuongeza tija katika wakala.