News

news image

KATIBU MKUU UJENZI ATEMBELEA TEMESA

Posted on: March 13, 2019

KATIBU MKUU UJENZI ATEMBELEA TEMESA: Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi) Arch. Elius Mwakalinga ametembelea Makao Makuu ya Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA)........

Read More
news image

UJENZI WA KIVUKO KIPYA KAYENZE BEZI WAANZA RASMI

Posted on: March 13, 2019

Serikali kupitia Wakala wa Ufundi na Umeme nchini TEMESA imefanikisha kuanza rasmi kwa ujenzi wa kivuko kipya kitakachotoa huduma kati ya Kayenze na Bezi Wilayani Ilemela mkoani Mwanza. Zoezi la uwekaji msingi wa........

Read More
news image

MTENDAJI MKUU TEMESA ZIARANI MIKOA YA IRINGA, NJOMBE, MBEYA, RUKWA NA KATAVI

Posted on: March 13, 2019

Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) Mhandisi Japhet Y. Maselle ameendelea na ziara ya kutembelea mikoa mbalimbali kusikiliza changamoto pamoja na kukagua shughuli za utendaji kazi na safari hii ametembelea mikoa ya Iringa, Njombe, Mbeya, Rukwa na Katavi kukagua........

Read More
news image

MTENDAJI MKUU TEMESA ATEMBELEA MIKOA YA MANYARA, TABORA, KIGOMA NA RUFIJI PWANI

Posted on: March 13, 2019

Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) Mhandisi Japhet Y. Maselle ameendelea na ziara ya kutembelea mikoa mbalimbali kusikiliza changamoto pamoja na kukagua shughuli za utendaji kazi na safari hii ametembelea mikoa ya Manyara, Tabora, Kigoma na Pwani na........

Read More